Cctv camera hii ni ya siri. Tuna maanisha ukiitazama ikiwa imefungwa ktk eneo husika hautoweza kuitambua kuwa ni cctv camera. Hii inasaidia wahalifu kutojua ni sehemu gani zilipofungwa camera kwa sababu wahalifu wengi wana tabia ya kukwepa camera.
Tunahakikisha unaweza kutoa risiti popote ulipo kwa garama nafuu hata kama hauna bando utaweza kutumia mfumo wa VFD. Huu mfumo umethibitishwa na TRA kutoa risiti halali za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi.