Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Hino Rainbow Front Engine Bus, 4,000cc, 29 Seats, Still New, Engine In Great Condition... Bus lipo vizuri sana na lipo barabarani muda wote, Vibari vyote vimeripiwa, Unachukua unaendelea na kazi kama kawaida, Karibuni Sana...