Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
SHULE INAUZWA DODOMA MJINI -Mahali - ZUZU MTAA WA PINDA Jirani na RING ROAD Shule ina madarasa manne (4), Ofisi 4, numba na vyumba vitatu na vyoo vyenye matundu 12. Eneo - Square meter 33,260 Pamepimwa na kuna kibali cha shule/taasisi. Bei - Million 230