Oil nzuri sana kwa ajili ya kuondoa madoa, stretch mark na makovu, Inaondoa weusi katikati ya mapaja, mgongoni, tumboni na weusi shingoni
Inasaidia kuondoa stretch marks
Inafanya ngozi iwe soft and smooth
*Inaondoa madoa na makovu mwilini
Inalainisha ngozi ya mwili vizuri moo!
Uneven skin Tone
Inaipa ngozi mng'ao mzuri
Unaweza kumix kwenye body lotion/ body cream yako unayopaka au unaweza pia kuvapaka yenyewe peke yake!
Kama ngozi yako haina unyevu, imesinyaa, cream kali zimekakamaza ngozi yako hii oil ni nzuri saana ukitumia!
Kopo zima 1000ml elf 80,000
Nusu kopo elf 45,000
Robo ujazo 250ml elf 35,000
Read more