Saratani ya matiti ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye matiti Saratani hii kwa kawaida haina dalili katika hatua za kwanza hivyo unashauriwa kufanya uchunguzi wa Saratani mara kwa mara
Presha(Shinikizo la Damu) ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Aina za Presha. Zipo aina kuu mbili za presha, yaani; (I) PRESHA YA KUPANDA (II) PRESHA YA KUSHUKA. PRESHA YA KUPANDA. Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya da...
LUO TRIPHALA ni dawa bora ya asili yenye nguvu kubwa ya kutibu maradhi mbalimbali kama vile -kutoa sumu mwlini -kutibu vidonda vya tumbo -kuongeza hamu ya tendo la ndoa -kutibu pressure -kutibu hali ya macho kuona vizuri -kutibu kaswende na UTI -Kutibu maralia na typhod -kutibu minyoo nk
VIPIPI ni dawa Bora na mujarrabu sana kwa mwanamke hanaekos hamu ya tendo tendo la ndoa ,pia hinaongeza joto ukeni ,kuufanya uke kuwa mnato na Kuongeza msisimjo na hisia kali ya tendo la ndoa na kutibu kifua cha muda mrefu
Mtu kuhisi ganzi maumivu au kuwaka Moto maeneo ya miguuni,mikononi kuhisi kama humevaa soksi au gloves wakati hujavaa ,kuhisi kama kuna kitu cha ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole,kushindwa kushika au kunyanyua kitu,kuchoka kwa misuli nk
Hii nidawa bora ya KUNENEPESHA huume kwa wenye umbile dogo napia imaimalisha misuri kwa wale walio regea misuri ya huume kwa sababu tofauti tofauti hii ndo tiba pata umalize tatizo lako
Chanzo cha tatizo hili huanzia kwenye figo.figo huenda zikawa zinatengeneza mkojo mwingi zaidi ya kiwango kinachoitajika.homoni ADH huambia figo kutengeneza mkojo mchache kiwango cha kawaida na Mara nyingi homoni hiyo hupungua nyakati za usiku.wakati unapotokwa na mkojo kitandani huenda homoni za ADH zimepungua ama figo hazifanyi kazi kama inavyostaili Kiwan...