Dawa ya kikojozi

TZS 55,000
Huduma za Urembo na Mazoezi
1 year
Tanzania
Dar es Salaam
Temeke
937 views
SKU: 4002
Published 1 year ago by Amanzi Said
TZS 55,000
Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
937 item views
Chanzo cha tatizo hili huanzia kwenye figo.figo huenda zikawa zinatengeneza mkojo mwingi zaidi ya kiwango kinachoitajika.homoni ADH huambia figo kutengeneza mkojo mchache kiwango cha kawaida na Mara nyingi homoni hiyo hupungua nyakati za usiku.wakati unapotokwa na mkojo kitandani huenda homoni za ADH zimepungua ama figo hazifanyi kazi kama inavyostaili

Kiwango cha sukari pia huathiri kiwango cha homoni za ADH,hatua zinazoifanya figo kutengeneza kiwango kikubwa cha mkojo unapokuwa na mkojo mwingi kibofu chako hushindwa kuzuia na hivyo basi mkojo hutoka Mara kwa mara.

Mwanamke hanaweza kuwa na tatizo la kukojoa kitandani iwapo anatatizo la kibofu cha mkojo na kushindwa kujizuia.pia kuna maambukizi ya njia ya mkojo ambayo yanaweza kumfanya mtu zima kukojoa kitandani.kitamaduni tatizo la kutokwa na mkojo kitandani hudaiwa kusababishwa na pepo wabaya au maahetwani lakini kwamba kutokwa na mkojo ni ugonjwa ambao unapojulikana huwezi kushirikishwa na pepo au mashetwani Read more

Description

Chanzo cha tatizo hili huanzia kwenye figo.figo huenda zikawa zinatengeneza mkojo mwingi zaidi ya kiwango kinachoitajika.homoni ADH huambia figo kutengeneza mkojo mchache kiwango cha kawaida na Mara nyingi homoni hiyo hupungua nyakati za usiku.wakati unapotokwa na mkojo kitandani huenda homoni za ADH zimepungua ama figo hazifanyi kazi kama inavyostaili

Kiwango cha sukari pia huathiri kiwango cha homoni za ADH,hatua zinazoifanya figo kutengeneza kiwango kikubwa cha mkojo unapokuwa na mkojo mwingi kibofu chako hushindwa kuzuia na hivyo basi mkojo hutoka Mara kwa mara.

Mwanamke hanaweza kuwa na tatizo la kukojoa kitandani iwapo anatatizo la kibofu cha mkojo na kushindwa kujizuia.pia kuna maambukizi ya njia ya mkojo ambayo yanaweza kumfanya mtu zima kukojoa kitandani.kitamaduni tatizo la kutokwa na mkojo kitandani hudaiwa kusababishwa na pepo wabaya au maahetwani lakini kwamba kutokwa na mkojo ni ugonjwa ambao unapojulikana huwezi kushirikishwa na pepo au mashetwani

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa

Bidhaa Ulizoangalia

Prof. John Isaac Mwita Prof. John Isaac Mwita Monday 13:50
2014 Land Rover Discovery 4
TZS 66,500,000
2014 Land Rover Discovery 4
Dar es Salaam
2.7 Twin-Turbo Diesel Engine, TDV6 HSE 7-Seater Leather Seats, Full Electric SUV 94k Mileages, Airbags, Electric Air Suspension, Terrain Response System, Hill descent control, Low-range Gearbox, ABS, Stability Control, Optional Cameras/Sensors, and may more entertainment features
Gari Toangoma
TZS 66,500,000
Are you a professional seller? Create an account