Baridi yabisi ni mkusanyiko wa maradhi yanayotesa watu wengi katika siku za hivi karibuni maradhi haya ni makali kiasi kwamba humtesa mtu na kumfanya kuwa mlemavu na hata kupelekea kifo wakati mwingine
NINI HUSABABISA MARADHI HAYA
Ni huwepo wa sumu nyingi za tindikali mbaya katika mwili uric acidi wakati mwingine ni maambukizi ya bacteria virusi na matatizo ya kinasaba
URIC ACID
Ni tindikali ambayo inatengenezwa mwilini kutokana na mazoea ya kula vyakula vya nyama na mafuta ya wanyama seli hai za mwili zinapokufa pamoja na vyakula na vinywaji vingine
INATOKEAJE VIUNGO KUUMA NA KUVIMBA
Kadri uric acid zinapotokea mwilini ndipo ndipo damu uzoofishwa nguvu take yakiutendaji na misuli ushambuliwa na vipenyo vyake huziba hivyo uric acid huwasha na kuelekea katika minofu sehemu ambazo damu hazifiki kwa kiwango kinachotakiwa
Read more