Magonjwa ya Moyo/Presha ya kupanda/Presha ya kushuka/Tiba asili ya presha

Check with seller
Huduma za Urembo na Mazoezi
2 years
Tanzania
Morogoro
Morogoro
4509 views
SKU: 2189
Published 2 years ago by Nutr Sood
Check with seller
Morogoro, Morogoro, Tanzania
Get directions →
4509 item views
Zijue Faida Zitakazokuepusha na Kukutibu Presha na Magonjwa ya Moyo Kwa Haraka.

MAGONJWA YA MOYO /SHINIKIZO LA DAMU/ PRESHA YA KUPANDA & KUSHUKA/SHAMBULIO LA MOYO/CHEMBE YA MOYO/MOYO KUTANUKA/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO/KUZIBA KWA VISHIPA VYA DAMU.

Magonjwa ya moyo ni muunganiko wa magonjwa yanayoshambulia moyo, vishipa vipelekavyo/vitoavyo damu kwenye moyo na maumbile yanayotengeneza moyo kwa ujumla(Structural and vessels disease).

Moja ya ugonjwa wa moyo unaokuja kwa kasi sana nchini ni ⤵;
↪Kupanda kwa shinikizo la juu la damu/Presha ya kupanda(high blood pressure/Hypertension) na kushuka kwa shinikizo la damu (Presha ya kushuka/Hypotension).

Presha ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu,msukumo huu ukiwa mkubwa au mdogo kuliko unaohitajika mwilini ndio huitwa presha ya kupanda au kushuka.

Kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) sababu kuu za Presha pamoja na magonjwa ya moyo zinatajwa kuwa ni pamoja na;

????Ulaji usiofaa, ulaji usiofata taratibu za kitabibu ikiwa ni pamoja na kula chakula kingi baada ya saa kumi na moja jioni au kula chakula kingi katika mlo mmoja kuliko kiwango kinachohitajika kwa siku (RDA).

???? Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi, ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi au chumvi nyingi katika mlo wako.

????Kutokula mboga mboga za majani pamoja na matunda ambapo kitaalamu inashauriwa nusu ya kila mlo wako iwe mboga mboga za majani pamoja na matunda n.k

*DALILI ZA MAGONJWA YA MOYO & PRESHA*

Zijue dalili ziletwazo na magonjwa ya moyo pamoja na presha ni ;

▶️Maumivu ya kifua mithili ya chembe ya moyo/chembe ya moyo.

▶️ Maumivu ya kifua kuzunguka hadi kwenye bega la kushoto.

▶️ Kuvimba kwa miguu na mikono.

▶️ Mapigo ya moyo kuwa ya chini sana au kasi sana.

▶️ Moyo kwenda mbio sana na kukosa pumzi hasaa zaidi unapotembea au kufanya shughuli zako ndogo ndogo/moyo kudunda kama mtu apiga dogoro kwa chini hasaa wakati wa kulala.

▶️ Mwili kuishiwa nguvu.

▶️ Kupata kizunguzungu na kuzimia.

▶️ Kupata ganzi kwenye miguu na mikono.

▶️Kutokwa na jasho jingi sana n.k

*MATIBABU*
-Ni vyema kwenda Hospital kwanza kujua tatizo lako na chanzo chake kabla ya kuanza kutumia dawa.

-Ipo mimea tiba yenye uwezo mkubwa wa kutibu tatizo la presha ya kupanda/kushuka na magonjwa ya moyo kwa ufanisi mkubwa sana.

-Dawa hii ya kulamba hutumiwa na wagonjwa wa presha kwa wastani wa siku 6 hadi 10 pekee (Dozi moja) na hufanikisha kuwaacha salama na kuwaepusha na matumizi ya vidonge ya kila siku.

-Mimea hii huweza kuondoa tatizo la presha na kutoa matokeo ya haraka sana kuliko matarajio ya mtumiaji.

*NJIA ZA KUEPUKA NA KUPUNGUZA HATARI ZA MATATIZO YA MOYO NA PRESHA*

▶️ Epuka kutumia tumbaku(sigara)
▶️ Punguza kiwango cha chumvi kwenye mlo wako.
▶️ Kula mbogamboga na matunda kwa wingi.
▶️ Fanya mazoezi/Shughulisha mwili.

▶️Punguza ulaji wa vyakula vya kukaanga(vitumiavyo mafuta mengi).

▶️ Epuka unywaji wa pombe.
▶️ Jitibie Kisukari.
▶️ Rekebisha uzito wako ikiwa uko juu na kiasi cha mafuta mwilini (BMI)
▶️ Kuwa na muda sahihi wa kula chakula chako.

▶️ Punguza matumizi makubwa ya Wanga katika mlo wako.

Kwa Ushauri,Maoni pamoja na Msaada wa kimatibabu wasiliana nami kwa:⤵️

Contacts
Nutr.Sood

Calls/Sms/Whatsaap: 0678640098.
Morogoro, mjini & Ilala Dsm. Read more

Description

Morogoro, mjini & Ilala Dsm.

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa

Bidhaa Ulizoangalia

Lillian Clement Lillian Clement 1 year
Nyumba inauzwa ipo beach
TZS 190,000,000
Nyumba inauzwa ipo beach
Dar es Salaam
Nyumba nzuri inauzwa ipo baharin Ni nzuri eneo ni kubwa
Nyumba Zinauzwa Gezaulole
TZS 190,000,000
MOHAMED HASSAN Pro MOHAMED HASSAN 2 years
TOYOTA NOAH SR40
Check with seller
TOYOTA NOAH SR40
Dar es Salaam
NOAH SR40 NAMBA (EAX)✅✅ Full A/c ✅✅ Full File✅✅ Engine 3S✅✅ CC 1990✅✅ Gari Kali sana???????? Low Mileage ✅✅ Bei 13.ml wazee???????????? Call me.......
Gari
Check with seller
David Godian David Godian 1 year
Sofa set seat 10
TZS 1,500,000
Sofa set seat 10
Dar es Salaam
Free delivery
Bidhaa Buza
TZS 1,500,000
NGO SAMIA NGO SAMIA 2 years
GODOWN FOR RENT AT MBEZI BEACH
$ 4
GODOWN FOR RENT AT MBEZI BEACH
Dar es Salaam
Details are on advertisement.
Ofisi na Maeneo ya Biashara
$ 4
Ally Kipande Ally Kipande 9 months
Gari Kondoa Dodoma 9 months
Gari 2004
TZS 5,500,000
Gari 2004
Dodoma
Nauza hyoo gari ipo Dodoma Mjini Kondoa karibuni
Gari Mjini
TZS 5,500,000
Excela Joshua Excela Joshua 1 year
PAGALE LINAUZWA NA BANK BLOCK ONE KAMBI TANO LUKOBE MOROGORO
TZS 18,000,000
PAGALE LINAUZWA NA BANK BLOCK ONE KAMBI TANO LUKOBE MOROGORO
Morogoro
1PAGALE LINAUZWA NA BANK BLOCK 1 KAMBI TANO, LUKOBE MOROGORO. NI KILOMITA 1 TOKA MOROGORO ROAD LOC : KAMBI TANO, LUKOBE. MOROGORO AREA :SQM 800 PRICE : MIL 18 UMILIKI : MKATABA WA SERIKALI YA MTAA CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties . SIFA:- . -VYUMBA ...
Nyumba Zinauzwa Block 1 Kambi 5, Lukobe Morogoro
TZS 18,000,000
Mnama Motors Mnama Motors 8 months
Toyota Spacio
TZS 14,900,000
Toyota Spacio
Dar es Salaam
TOYOTA SPACIO Engine displacement: 1496cc Engine code: 1NZ-FE Yom: 2O01 Mileage: 83,000km Clean interior Price/Bei: 14,900,000/= ✅Exchange allowed Call/Whatsapp: 0766090647 Mnama motors
Used Gari Ubungo
TZS 14,900,000
Peter Alfred Peter Alfred 6 months
FIRST BEACH PLOT FOR SALE
TZS 650,000,000
FIRST BEACH PLOT FOR SALE
Dar es Salaam
FIRST BEACH PLOT INAUZWA KIGAMBONI Ni beach plot safi ya mchanga, Huduma zote za kijamii zinapatikana, SITE VISIT NI KILA SIKU 0623590196
New Viwanja Kimbiji
TZS 650,000,000
Are you a professional seller? Create an account