Presha ya kupanda/Presha ya kushuka/Dalili za Presha/Tiba Asili Ya Presha.

TZS 69,999
Huduma za Urembo na Mazoezi
1 year
Tanzania
Dar es Salaam
Ilala
3000
2270 views
SKU: 2193
Published 1 year ago by Nutr Sood
TZS 69,999
3000, Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
2270 item views
Presha(Shinikizo la Damu) ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.

Aina za Presha.

Zipo aina kuu mbili za presha, yaani;
(I) PRESHA YA KUPANDA
(II) PRESHA YA KUSHUKA.

PRESHA YA KUPANDA.

Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya damu (artery) kuwa mkubwa kuliko njia ya mishipa hiyo.
Presha itaitwa kuwa presha ya kupanda ikiwa iko juu zaidi ya presha ya kawaida ambayo ni 120/80mmHg au kwa lugha nyingine wataalam wanasema ikiwa juu ya 140mmHg systolic blood pressure.Presha yaweza kupanda mpaka kufikia 240/120mmHg.

Sababu Kuu Za Kupanda Kwa Presha.

(i) Utumiaji wa chumvi nyingi kwenye chakula.

(ii) Unywaji wa pombe/sigara uliokithiri.

(iii) Msongo wa mawazo na kutokufanya mazoezi

(iv) Familia zenye matatizo ya moyo pamoja na kurithi.

(v) uzito mkubwa,unene na kitambi.

Dalili Za Presha Ya Kupanda.

(I) Kushikwa na kizunguzungu.

(II) Kichefuchefu, tumbo kujaa na kutapika kusiko kwa kawaida.

(iii) Kuvimba/kujaa maji kwa miguu,uso na mikono.

(iv)Kutokuona vizuri (kuona ukungu).

Madhara Yatokanayo Na Presha Ya Kupanda.

1️⃣ Uvimbe kwenye kuta za vishipa vya damu/kuziba kwa mishipa ya damu(artery) inayopelekea shambulio la moyo (Heart attack).

2️⃣Moyo kushindwa kusukuma damu (Heart failure).

3️⃣Kiharusi(stroke).

4️⃣ Kuharibika kwa figo pamoja na kupata shida ya moyo kutanuka.

Kwa upande mwingine;

PRESHA YA KUSHUKA.

Presha ya kushuka ni ile hali msukumo wa damu unakuwa mdogo kuliko upana (unene) wa vishipa vya damu hali inayopelekea damu chache kufika kwenye ubongo na viungo vingine vya mwili.

Presha ikishuka mpaka kufikia 90/60mmHg kutokea 120/80mmHg inatafsiriwa kama presha iliyoshuka.

Presha ya kushuka huchangiwa hasaa na moja ya sababu zifuatazo;

➡️Matatizo ya homoni.

➡️Maradhi ya moyo pamoja na matatizo ya vishipa vya damu.

➡️Kuwa na ugonjwa wa Kisukari.

➡️Kubeba Ujauzito.

➡️Ukosefu wa virutubisho mwilini kama vile protini,madini ya chuma,Vitamin B-12 n.k

➡️Kushikwa na hasira pamoja na msongo wa mawazo/matatizo ya hofu na wasi wasi.

Na moja ya dalili za presha ya kushuka ni kama vile;

➡️Mchoko(udhaifu), mwili kukosa nguvu na kuhisi kizunguzungu.

➡️Maumivu ya kifua pamoja na homa kali.

➡️Kupumua kwa shida na moyo kwenda mbio (mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida).

➡️Maumivu kwenye kifua, bega la kushoto pamoja na kiwiko cha mkono.

Moja ya madhara yanayotajwa yatokanayo na presha ya kushuka ni pamoja na mshtuko/kifo cha ghafla kunakotokana na viungo vya mwili kutokupata oxygen ya kutosha.

Epuka,dhibiti moja ya mambo yafuatayo ikiwa unasumbuliwa na tatizo la presha (aina zote) pamoja na athari zitokanazo na magonjwa ya moyo.

1.Kupata wasaa wa kufanya mazoezi ya viungo, kukimbilia au kuendesha baiskeli (wastani wa dk 45 kwa siku)

2.Epuka matumizi ya sigara, pombe na matumizi mengine ya madawa kama Heroine

3.Tumia kiasi sahihi cha chumvi, sukari au mafuta kwenye chakula chako(Sikiliza miongozo ya wataalamu).

4.Pata wasaa wa kupumzika (Zaidi ya saa 8 kwa siku)

5.Punguza unene au uzito uriokithiri.

Muhimu zaidi;

_Ipo mimea tiba yenye uwezo wa ajabu katika kutibu matatizo ya presha na kuondoa athari zitokanazo na magonjwa ya moyo.

_Dawa hii utaitumia kwa muda wa siku 6 hadi 10 tu,zitatosha kuondoa na kumaliza kabisa tatizo lako la presha.Presha kwa siku 6 hadi 10, tafsiri yake dawa inafanya kazi kwa haraka sanaaa na inatoa matokeo kwa haraka.

Nakukaribisha tena kupata suluhisho la tatizo lako.

Kwa ushauri,maoni pamoja na msaada wa kimatibabu, wasiliana nami kwa namba;

Call/sms/whatsaap

0678640098.
Ilala,Dsm&Morogoro mjini. Read more

Description

Ilala,Dsm&Morogoro mjini.

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa

Bidhaa Ulizoangalia

Fatuma Mussa Fatuma Mussa 2 years
SHEA BUTTER
TZS 50,000
SHEA BUTTER
Dar es Salaam
SHEABUTTER AVAILABLE ?Faida za Raw or Unrefined Shea Butter kwa Ngozi na Nywele. Inafanya ngozi kuwa laini na nyororo, Inatibu pumu ya ngozi (eczema) Kuzuia Kukatika nywele Unaweza kutumia kama Steaming ya nywele, Kuondoa na Kuzuia Makunyanzi ( wrinkles) Paka kama uking'atwa na mdudu (insect bite) Inazuia mionzi ya jua Inasaidia Walioungua na mkorogo/ vipodo...
Afya na Urembo
TZS 50,000
Joshua Kachala Joshua Kachala 1 year
HOUSE FOR RENT MBEZI BEACH
Check with seller
HOUSE FOR RENT MBEZI BEACH
Dar es Salaam
#VYUMBA_VINNE _VYA_KULALA# INAPANGISHWA# IKO-DAR-ES-SALAAM TZ MAHALI- MBEZI BEACH AFRICANA —————————— KODI TSHS ML 1,300,000/=KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 KUBWA YA KIFAMILIA —- YENYE:- Vyumba vinne vya kulala, #Master #Sebule kubwa # Dinning Jiko, #Choo/#Bafu vya ndani public #Gypsum #Tiles #Slides #Windows #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs...
Nyumba za Kupanga Mbezi beach - Mbezi Beach
Check with seller
classiccar partsvn classiccar partsvn 2 weeks
Mercedes 300SL Roadster (1957-1963) bumper
Check with seller
Mercedes 300SL Roadster (1957-1963) bumper
Dodoma
Mercedes 300SL Roadster (1957-1963) bumper A set of 1 front bumper in 3 parts, 1 rear bumper in 2 parts, 4 overriders and 2 front trim embellishers. We offer both style of rear overriders with number plate light cut out or without cut out. Please specify when ordering. The product has shape and size like the original samples. So, They perfect fit on the car....
New Mauzo ya Jumla Tanzania
Check with seller
Gariyangu_Project Pro Gariyangu_Project 1 year
Pro Gari Ilala Dar es Salaam 1 year
SUBARU FORESTER
TZS 32,500,000
SUBARU FORESTER
Dar es Salaam
SUBARU FORESTER NEW MODEL SG5 AVAILABLE FOR IMPORT MAKE YOUR FREE ORDER NOW
Gari Nhc House Samora
TZS 32,500,000
Dunda Magari Dunda Magari 1 year
Gari Mwanza Mwanza 1 year
Toyota harrier
TZS 21,800,000
Toyota harrier
Mwanza
Toyota harrier gari ipo vizuri aina shida yoyote
Gari Yes - Ilemela
TZS 21,800,000
Johanes Kimboy Johanes Kimboy 2 years
Guest house for sale
Check with seller
Guest house for sale
Pwani
It's located at Msata town in Chalinze District.it is about 400m from the main road to Arusha. Area is 972m2. The house has 7 rooms self contained each. Water and electricity is available . The price is negotiable, potential customers call 0621859196 or 0763951143 at any time.
Nyumba Zinauzwa
Check with seller
Given Emanueli Given Emanueli 7 months
Gari Arusha Arusha 7 months
Toyota carina SI
TZS 5,800,000
Toyota carina SI
Arusha
Toyota carina SI Good condition
Gari Kaloleni
TZS 5,800,000
Michael Dalali Michael Dalali 4 months
HOUSE FOR SALE MBEZIBEACH
TZS 1,300,000,000
HOUSE FOR SALE MBEZIBEACH
Dar es Salaam
GHOROFA NZURI SANA MBEZI BEACH CHINI KARIBU NA BAHARINI (BIL 1.3) Ina Vyumba Vinne Vya Kulala,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet Pia Kuna Servant Quarter Ya Vyumba Viwil Umiliki: Hati Miliki (Title Deed) Ukubwa Wa Eneo: SQM 1,200 Nyumba Ya Kisasa Vyumba Vyote A/c Bei : 1.3 Billion (Maongezi) Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Nyumba Zinauzwa Mbezibeach
TZS 1,300,000,000
Are you a professional seller? Create an account