Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
JUMLA YA VIWANJA 127. ( vimepimwa ) VINAUZWA KISESA - MATELA -viwanja vipo KM 30 kutoka mwanza mjini -viwanja vyote vimepimwa na vina bicons -bei Milioni 300 kwa viwanja vyote 127 -umeme, maji na barabara vyote vipo -viwanja vipo mita 700 kutoka barabara ya lami
Kiwanja kinauzwa mjini kati -ukubwa wa kiwanja ni 25X20 =500 sqm -kina hati miliki ya wizara mkononi -bei Milioni 400 ( punguzo lipo ) -panafaa kwa makazi au biashara
KIWANJA KINAUZWA NYEGEZI MAJENGO MAPYA -ukubwa wa kiwanja ni Sqm 1,400 -kiwanja kina hati miliki ya wizara -bei Ni Milioni 57 ( punguzo lipo ) ☎️ 0743220097
KIWANJA CHA BARABARA YA LAMI KINAUZWA BUSWELU -ukubwa wa kiwanja ni 1,860 Sqm -kiwanja kina hati miliki ya wizara -kiwanja kina fensi na geti tayari -bei Milioni 66 ( punguzo lipo ) ☎️ 0743220097
Eneo linauzwa pasiansi -ukubwa wa kiwanja ni 30X15 -kina hati miliki ya wizara -bei Milioni 100 NB:- kiwanja cha 3 kutoka barabara ya lami ( airport road )
VIWANJA VINAUZWA NYASHISHI CENTER -ukubwa wa kila kiwanja ni 30X20 -umeme, maji na barabara vipo -ruksa kununua kimoja au zaidi -viwanja vipo mtaa mzuri sana -bei Ni Milioni 6 na laki 5 kila kimoja ☎️ 0743220097
Nauza shamba la eka 350 shamba hili linapatikana kata ya Msata kijiji cha Mkoko linafaa kwa kilimo ufugaji na makazi linaumbali wa kilometa 11 Gar inafika mpaka shamba bei kwa kila eka moja inauzwa 250,000/= kwa mawasiliano piga no..0659628665/=
9 acres beach plot for sale at Buyuni Kigamboni. Facing Indian ocean. Size: 9 acres. Its an investment opportunity. Ideal for Bootique Hotel, Beach Resort, or Beach house. 51 km from ferry, 51.7 km from Kigamboni bridge, 64.3 km from Airport. Land still need be developed but has great potential. Schools, Hospital, retair shops are near by. Clear road access....