*Shamba la Ekari 10 linauzwa Chalinze mjini*(CHANG'OMBE STREET) *Distance* Shamba liko Kilometer 1 tu kutoka Barabara ya lami ya Morogoro road -Ndani ya shamba kuna miembe na michungwa na nyumba ya wafanyakazi -Shamba linafaa kwa kilimo cha mahindi mihogo na kadhalika -Document; Hati ya mauziano ya selikali za mitaa ( Shamba limepimwa Hati miliki itatoka kwa...