*TOYOTA RACTIS INAUZWA
Inauzwa gari zuri na la kifamilia aina ya *Toyota Ractis*, lina nafasi kubwa, linatumia mafuta kidogo na linafaa kwa matumizi ya kila siku au biashara ndogo.
🚘 Aina: Toyota Ractis
⚙ Transmission: Automatic
⛽ Injini: Petrol – low fuel consumption
🧊 AC inafanya kazi vizuri
💺 Ndani spacious na safi
🔊 Sound system nzuri
🛠 Hali nzuri, haijawahi kupata ajali
*Bei*: TSh *10,000,000*
📞 *Wasiliana:* 0786 522 839