*TOYOTA RACTIS INAUZWA Inauzwa gari zuri na la kifamilia aina ya *Toyota Ractis*, lina nafasi kubwa, linatumia mafuta kidogo na linafaa kwa matumizi ya kila siku au biashara ndogo. 🚘 Aina: Toyota Ractis ⚙ Transmission: Automatic ⛽ Injini: Petrol – low fuel consumption 🧊 AC inafanya kazi vizuri 💺 Ndani spacious na safi 🔊 Sound system nzuri 🛠 Hali nzuri, haija...
*HONDA INAUZWA Inauzwa gari aina ya *Honda* lina hali nzuri, linaendeshwa vizuri, na ni chaguo bora kwa matumizi ya kila siku. Bei M4. 📞 *Wasiliana:* 0786 522 839