Bajaji Ya Kuchaji E2

TZS 10,148,000
Pikipiki
4 months
Tanzania
Dar es Salaam
Kinondoni
Makumbsuho, Zo Spaces, 3rd Floor
506 views
SKU: 12843
Published 4 months ago by Mr Umeme
TZS 10,148,000
In Pikipiki category
Makumbsuho, Zo Spaces, 3rd Floor, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
506 item views
TRí E2 ni bajaji ya umeme ya kisasa, iliyotengenezwa kwa ajili ya matumizi ya kila siku ya biashara na usafirishaji. Haina matumizi ya mafuta – unachaji kwa 3,000 TZS na inakupeleka hadi 100 km kwa chaji moja.

Sifa kuu:

Umeme 100%
Betri ya 8 kWh – uwezo wa kwenda zaidi ya 100 km kwa chaji moja
Gharama ndogo ya uendeshaji – kuchaji ni 3,000 TZS pekee
Huduma ya baada ya mauzo na warranty
Inafaa kwa Bolt, Duka Direct, na biashara ya usafirishaji
Tunafungua akaunti ya Bolt bure kwa kila mteja mpya

Mikopo inapatikana kuanzia TZS 1,000,000 kupitia benki na taasisi mbalimbali za kifedha. Huhitaji kuwa na pesa nyingi kuanza – tunakusaidia uanze na umiliki wako.

Kwa mawasiliano au majaribio ya kuendesha, tafadhali wasiliana nasi sasa. Read more

Specs

Engine Capacity CC 250
Gearbox Automatic
Year 2025
Color White
Fuel Type Electric
Mileage Km 0
Seats 4-seater

Description

TRí E2 ni bajaji ya umeme ya kisasa, iliyotengenezwa kwa ajili ya matumizi ya kila siku ya biashara na usafirishaji. Haina matumizi ya mafuta – unachaji kwa 3,000 TZS na inakupeleka hadi 100 km kwa chaji moja.

Sifa kuu:

Umeme 100%
Betri ya 8 kWh – uwezo wa kwenda zaidi ya 100 km kwa chaji moja
Gharama ndogo ya uendeshaji – kuchaji ni 3,000 TZS pekee
Huduma ya baada ya mauzo na warranty
Inafaa kwa Bolt, Duka Direct, na biashara ya usafirishaji
Tunafungua akaunti ya Bolt bure kwa kila mteja mpya

Mikopo inapatikana kuanzia TZS 1,000,000 kupitia benki na taasisi mbalimbali za kifedha. Huhitaji kuwa na pesa nyingi kuanza – tunakusaidia uanze na umiliki wako.

Kwa mawasiliano au majaribio ya kuendesha, tafadhali wasiliana nasi sasa.

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa

Bidhaa Ulizoangalia

Nmg shops Nmg shops Sunday 14:18
Tochi Inayochaji Simu
TZS 35,000
Tochi Inayochaji Simu
Mbeya
TOCHI INAYOCHAJI SIMU! 🔋 Hii si tochi ya kawaida — ni Powerbank Flashlight! 🔦 Inatoa mwanga mkali, haipitishi maji 🌧️, inachaji kwa USB ⚡ na hata kwa betri za kawaida 🔋. Unaweza kuitumia kama mwanga wa dharura, safari, kambi au kazi za usiku 🌙. ✅ Inachaji simu zako 📱 ✅ Inazoom na ina modes tofauti za mwanga ✅ Imetengenezwa kwa chuma imara 💪 ✅ Inafaa kwa kila...
Bidhaa Nyingine za Umeme
TZS 35,000
Samson Joel Samson Joel Saturday 21:11
Gari Ubungo Dar es Salaam Saturday 21:11
Toyota Harrier 2007 Nyeusi
TZS 39,800,000
Toyota Harrier 2007 Nyeusi
Dar es Salaam
Price.39.5.M + USAJILI Toyota HARRIER Model 2007 ✅ Cc 2360 ✅ Lower Mileage Engine VVTI 🔥 Power Door (Buti Linafunga Kwa Umeme) Winker Mirror Android Radio Back Screen In Mint Condition👌🏻
Gari 9070 Dsm
TZS 39,800,000
Mohammed Jivanjee Pro Mohammed Jivanjee 6 months
Pro Other 6 months
PRESSURE WASHER
TZS 450,000
PRESSURE WASHER
PRESSURE WASHER Price: 450,000Tsh Call/WhatsApp: 0627774377
New Other
TZS 450,000
Are you a professional seller? Create an account