Piki piki inauzwa.Ipo kwenye hali nzuri sana.Haijawah funguliwa engine.Imekua ikitumika kwa ajili ya delivery tu.Ni piki piki ya kampuni.Ofis zetu zipo kkoo na mwananyamala.Karibuni kwa maelezo zaidi
???? INAUZWA: GUTA LA MIZIGO USED ???? Aina: WANHOO CC: 200 Hali: Imetumika lakini iko katika hali nzuri sana Bei: TZS 4,300,000 (Milioni Nne na Laki tatu) ???? Tayari kwa matumizi, inawaka vizuri, haijawahi pata ajali. ???? Imehifadhiwa vizuri na iko tayari kuingia barabarani. ???? Wasiliana nami kwa maelezo zaidi au kuona pikipiki: ???? [0611200803] Usikos...
TRí E2 ni bajaji ya umeme ya kisasa, iliyotengenezwa kwa ajili ya matumizi ya kila siku ya biashara na usafirishaji. Haina matumizi ya mafuta – unachaji kwa 3,000 TZS na inakupeleka hadi 100 km kwa chaji moja. Sifa kuu: Umeme 100% Betri ya 8 kWh – uwezo wa kwenda zaidi ya 100 km kwa chaji moja Gharama ndogo ya uendeshaji – kuchaji ni 3,000 TZS pekee Huduma y...
Modeli:Powerful Dragon Umbali wa Juu:80Km Uwezo wa Kubeba:500-1000KG Vipimo:3050*1150*1470 mm Betri:Betri ya Asidi ya Risasi(Salama sana) Kuzuia wizi Gia ya Kurudi Nyuma Kiolesure cha USB(Universal Serial Bus) We have own Factory ! There's an electric car for you You deserve it !! Usichome mafuta Usichome mafuta Usichome mafuta Haihitaji mafuta, chaji moja t...