NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA MACHINJIONI -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -umeme na maji unajitegemea -kodi Tsh 200,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita ☎️ 0743220097
NYUMBA INAPANGISHWA MADUKA TISA -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Mil 5.5 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -familia 4 ndani ya fensi -nyumba iko karibu na barabara ya lami ☎️ 0743220097
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA CENTER -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -umeme na maji unajitegemea -kodi Milioni 3 kwa mwaka -malipo ni miezi sita ☎️ 0743220097
Nyumba inapangishwa Mbeya mjini. Ni nyumba inayojitegemea. Ina vyumba 3 vya kulala,sebule,chumba cha chakula, jina jiko kubwa, Tshs. 1.2m kwa mwezi.Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
Nyumba inapangishwa mecco mtaa kangaye -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -kodi ni Milioni 4 kwa mwaka -umeme na maji unajitegemea -familia mbili ndani ya fensi moja
bedroom, kitchen, laundry area, bathroom, dining, electric meter, water meter. Safe n clean. Bunju b area. Tile floor, cabinets, ceiling fans. Final price 150k per month