Apartment inapangishwa buswelu center -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self ), sebule, jiko na public toilet -kodi Milioni 2 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -umeme na maji unajitegemea Nyumba ya 2 kutoka barabara ya lami 0743220097
Nyumba inapangishwa mecco mtaa kangaye -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -kodi ni Milioni 4 kwa mwaka -umeme na maji unajitegemea -familia mbili ndani ya fensi moja
NYUMBA INAPANGISHWA MADUKA TISA -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Mil 5.5 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -familia 4 ndani ya fensi -nyumba iko karibu na barabara ya lami ☎️ 0743220097
Newly built apartment complex, now renting this 1 bedroom, located on the 1st floor. Our complex has: *Hot water *A/C *Reserve Water (via water tanks) *Front & Back Balcony's *Gated community *Security cameras on premises *Wifi available *Housekeeping available *Laundry Service available *All daily needs are in walking distance (Pharmacy & groceries)
NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA MACHINJIONI -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -umeme na maji unajitegemea -kodi Tsh 200,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita ☎️ 0743220097
bedroom, kitchen, laundry area, bathroom, dining, electric meter, water meter. Safe n clean. Bunju b area. Tile floor, cabinets, ceiling fans. Final price 150k per month
Plot for sale Sqm 1980 Location Bunju B Kutoka rami mita 3 tu Mtaa wakishua sana Tume shusha bei kutoka ml 130 Hadi ml 100 maongezi yapo Kiwanja kina hati ya wizara
#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA# INAPANGISHWA #APARTIMENT ( Tamu sana) IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- SALASALA (Karibu na lami) ——————————————————— KODI IMEJUMUISHWA NA MAJI KODI TSHS LAKI 830,000/=KWA MWEZI ________________ MALIPO YA MIEZI 4 ————- APART YA KISASA _________________ KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba vitatu vya kulala, # Master Yenye Ac Sebule...