Nyumba iko Morogoro mjini Sabasaba majumba saba.
Karibu na Twiga hotel ya Zamani.
Ni mwendo wa dk 5 kwa mguu kufika mjini! Moro.
Nyumba kuu ya mbele ina chumba na sebule.
Kwa nyuma yaani uani kuna Jiko, stoo na Choo na bafu lake.
Bei 150,000 kwa mwezi anaweza kulipa miezi 6 , na maelewano ya muda wa kulipa yapo!
0787443488