Nyumba 2 zinapangishwa goba kulagwa.

TZS 350,000
Nyumba za Kupanga
7 months
Tanzania
Dar es Salaam
Ubungo
Goba Kulagwa
234 views
SKU: 7114
Published 7 months ago by rabi ndeserua
TZS 350,000
In Nyumba za Kupanga category
Goba Kulagwa, Ubungo, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
234 item views
Nyumba mbili zinapangishwa, zipo kwenye compond moja ndani ya ukuta. Zinajitengea kwa kila kitu. Maji ya dawasa na umeme zipo. Sebule kubwa, jiko, dinning, public toilet, vyumba viwili kimoja master.
Slidding window, chini tukes, juu gypsum.
Ni mpya kabisa. Zipo goba kulangwa karibu na hospitali kwa masister.
Karibuni. Read more

Specs

Bedrooms 2-Bedrooms
Bathroom 2-Bathrooms

Description

Nyumba mbili zinapangishwa, zipo kwenye compond moja ndani ya ukuta. Zinajitengea kwa kila kitu. Maji ya dawasa na umeme zipo. Sebule kubwa, jiko, dinning, public toilet, vyumba viwili kimoja master.
Slidding window, chini tukes, juu gypsum.
Ni mpya kabisa. Zipo goba kulangwa karibu na hospitali kwa masister.
Karibuni.

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account