1- Ipo katika eneo lenye utulivu.
2- lnavyumba 3, jiko, stoo, bafu na choo cha self na pubilc.
3- lna eneo la kuegesha magari zaidi ya manne
4- Ina miti ya matunda mbalimbali na migomba
5- Ina umbali wa kama mita 150 kutoka barabara ya lami.
6- Ina nyumba ya mfanyakazi na choo na bafu la nje.
7- Inapangishwa na mwenyenyumba hivyo hakuna mtu wa kati / wapambe
8- lnanjia /barabara nzuri mpaka getini.
Read more