NYUMBA MPYA INAPANGISHWA KISEKE
-ina vyumba vinne vya kulala( kimoja ni self contained), sebule, dinning, jiko, stoo, chumba cha kusomea na public toilet
-ina makabati, jiko la njee, stoo ya njee, public toilet ya njee na water reserve tank
Nyumba ya pili (2) kutoka barabara ya lami
Iko nyumba moja ndani ya fensi