Apartment inapangishwa buswelu center -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self ), sebule, jiko na public toilet -kodi Milioni 2 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -umeme na maji unajitegemea Nyumba ya 2 kutoka barabara ya lami 0743220097
Nyumba inapangishwa Mbeya mjini. Ni nyumba inayojitegemea. Ina vyumba 3 vya kulala,sebule,chumba cha chakula, jina jiko kubwa, Tshs. 1.2m kwa mwezi.Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA MACHINJIONI -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -umeme na maji unajitegemea -kodi Tsh 200,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita ☎️ 0743220097
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA CENTER -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -umeme na maji unajitegemea -kodi Milioni 3 kwa mwaka -malipo ni miezi sita ☎️ 0743220097