NYUMBA INAUZWA – CHASIMBA*
Inauzwa nyumba kubwa na nzuri iliyopo maeneo ya *Chasimba*. Inafaa kwa makazi au uwekezaji kutokana na ukubwa na mpangilio wake wa vyumba.
*Sifa za nyumba:*
🏠 Vyumba 7 vya kulala
🚽 Vyoo 4
💧 Maji na umeme vinapatikana
🧱 Imezungushiwa ukuta kwa usalama zaidi
📌 Eneo linafikika kwa urahisi
*Bei*: TSh *60,000,000* (maongezi yapo)
*Contact: 0786522839
Read more