Kiwanja kipo Mvuti barabarani umbali wa 20km ukitokea Mbagala junction kuelekea Mbande.
Ukubwa: 22,850m²
Idadi ya VIWANJA 12, vilivyopimwa na vina Hati.
Mbele ni main road Kuna hati ya petrol station(plot no. 12) na Commercial (plot no. 11).
Span ya almost 100 meters on main road.
Plot no. 10-3 ni hati za Residencial
Plot No.1&2 Commercial Residencial
Kodi zote za ardhi ziko uptodate
Kiwanja kime, ungukwa na barabara za mtaa pande zote.
Bei 1.7B maelewano yapo.
Read more