Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani.
Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k.
Eneo lipo km30 kutoka feri, Kigamboni, Kitongoji cha kwa Morisi, njiapanda beach mpakani na kata ya Kimbiji.
Eneo lina ukubwa wa mita 20*20.Umeme upo jirani (nguzo moja).Maji yana patikana bila shida.
Eneo linafaa sana kwa uwekezaji wa sasa ama baadaye kwani lipo mahali bora sana kibiashara.
Eneo ni bora kabisa kwa:
Duka la vifaa vya ujenzi, super market ndogo, hoteli, mgahawa, baa, fremu za maduka, duka la nafaka, mashine ya kusaga, car wash, gereji, duka la spea, minara ya simu, hospitali, kiwanda cha kuteneneza matofali, n.k.
Bei ni shilingi milioni 10. Mazunguzo yapo kwa muhitaji.
Mawasiliano(mmiliki): 0685381338