Kibaha: Ardhi Ekari 4.5 Iliyoendelezwa Inauzwa - Pwani

TZS 128,000,000
Viwanja
1 year
Tanzania
Pwani
Kibaha
Kwa Mfipa, Km 8 Kutoka Morogoro Road
638 views
SKU: 6099
Published 1 year ago by Joh Makay
TZS 128,000,000
In Viwanja category
Kwa Mfipa, Km 8 Kutoka Morogoro Road, Kibaha, Pwani, Tanzania
Get directions →
638 item views
• Direction: Kwa Mfipa, Sagale Magengeni km 8 kutoka Morogoro Road

• Land Area:
- Land No. 54 Sqm 9,455
- Land No. 53 Sqm 6,853
- Land (skwata) Sqm 2,000+
TOTAL AREA: Sqm 18,308 (ekari 4.5)

• Document: Ofa (hati iko kwenye mchakato, itatoka muda wowote)

• Price: TZS 7,000/sqm AU milioni 128 kwa maeneo yote matatu
NB: Unaweza kununua eneo 1 au maeneo yote

.

✓ maeneo yote matatu yamefuatana
✓ miundo mbinu yote iko vizuri
✓ pako levo
✓ panafaa kwa uwekezaji

.

Vilivyomo ndani ya eneo:
✓ nyumba yenye 1 bedroom, living room & kitchen
✓ ofisi yenye 1 room & kitchen
✓ servant wing yenye 1 bedroom & storage room
✓ security wing 1
✓ common washroom 1
✓ mabanda: kuku 1, mbuzi na kondoo 1
✓ Miti: komamanga 4, Michungwa 12, miembe 40, limao 5, ndimu 4, michenza 6, stafeli 3, parachichi 6, topetope 3, mipera 3, nazi 6, zambarao 1, migomba 134, papai 314 na miti ya mbao 44
✓ solar panel na bwawa la umwagiliaji lenye uwezo wa kutunza maji mwaka mzima Read more

Specs

Property Size Sq Ft 197066

Description

• Direction: Kwa Mfipa, Sagale Magengeni km 8 kutoka Morogoro Road

• Land Area:
- Land No. 54 Sqm 9,455
- Land No. 53 Sqm 6,853
- Land (skwata) Sqm 2,000+
TOTAL AREA: Sqm 18,308 (ekari 4.5)

• Document: Ofa (hati iko kwenye mchakato, itatoka muda wowote)

• Price: TZS 7,000/sqm AU milioni 128 kwa maeneo yote matatu
NB: Unaweza kununua eneo 1 au maeneo yote

.

✓ maeneo yote matatu yamefuatana
✓ miundo mbinu yote iko vizuri
✓ pako levo
✓ panafaa kwa uwekezaji

.

Vilivyomo ndani ya eneo:
✓ nyumba yenye 1 bedroom, living room & kitchen
✓ ofisi yenye 1 room & kitchen
✓ servant wing yenye 1 bedroom & storage room
✓ security wing 1
✓ common washroom 1
✓ mabanda: kuku 1, mbuzi na kondoo 1
✓ Miti: komamanga 4, Michungwa 12, miembe 40, limao 5, ndimu 4, michenza 6, stafeli 3, parachichi 6, topetope 3, mipera 3, nazi 6, zambarao 1, migomba 134, papai 314 na miti ya mbao 44
✓ solar panel na bwawa la umwagiliaji lenye uwezo wa kutunza maji mwaka mzima

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa

Bidhaa Ulizoangalia

Smart Commission Agent Smart Commission Agent 2 years
2013, Subaru Forester New Model
TZS 40,000,000
2013, Subaru Forester New Model
Dar es Salaam
SUBARU FORESTER NEW MODEL KALI SANAAA YEAR 2013 , CC 1990 , KMS 65+ , STI EDITION , ROOF CARRIER , BLACK COLOUR , SUPER CLEAN Condition , Contact: 0716905737 or 0754459787 Both are available in WhatsApp
Gari
TZS 40,000,000
Excela Joshua Excela Joshua 1 year
NYUMBA INAUZWA MSUFINI MLANDIZI
TZS 40,000,000
NYUMBA INAUZWA MSUFINI MLANDIZI
Pwani
NYUMBA (BINAFSI) NZURI IMEJENGWA KISASA INAUZWA MSUFINI MLANDIZI. IKO KWENYE CORNER PLOT, NI KILOMITA 1 TU TOKA MAIN ROAD LOC : MSUFINI MLANDIZI AREA :SQM 534 PRICE : MIL 40 UMILIKI :HATI CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties . SIFA:- -INA VYUMBA 3, MAST...
Nyumba Zinauzwa Msufini Mlandizi
TZS 40,000,000
Ivan Minja Ivan Minja 1 year
House for sale Kiwembe, Luguluni Kibamba
TZS 120,000,000
House for sale Kiwembe, Luguluni Kibamba
Dar es Salaam
Minja real estate & Car Broker introduce:- House for sale Kibamba Luguluni Kiwembe. Plot Size Sqm 4000. 4 bedrooms-1 master. Kitchen, sitting room, public toilet. Price Mil 120. Call/Whats app via 0687575770.
Nyumba Zinauzwa Luguluni Kiwembe Kibamba
TZS 120,000,000
Adam jazile Pro Adam jazile 1 year
Shamba la ekari 4 linauzwa bagamoyo fukayosi
TZS 20,000,000
Shamba la ekari 4 linauzwa bagamoyo fukayosi
Pwani
Shamba la ekari 4 linauzwa mwavi fukayosi lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata zote kwa pamoja zinauzwa shiligi 20 Milioni shamba lipo barabarani kabisa unaweza kupanda mazao kama Nanasi ,Migomba, Papai ,Minazi ,Korosho ,Ndimu ,Maembe, Machungwa nk
Nyumba na Viwanja Kiwangwa
TZS 20,000,000
Are you a professional seller? Create an account