Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 50 linafa kulima mazao ya aina yoyote au makazi umbali kilometa 5 kutoka lami bei sh laki nane kwa heka moja barabara shafi mpaka shambani kuona bule kalibuni sana kiwangwa bagamoyo pwani
Kwa wateja serious only ,tufanye Biashara Kiwanja kina nyumba kumbwa na chumba kimoja cha ziada kwa nje, Kipo :- msongola, ilala Bei :- 25 million Ukubwa :- 318 square mita
KIWANJA KIZURI CHA MAKAZI NA BIASHARA KINAUZWA HAPA OYSTERBAY DODOMA, KWA WEWE MUWEKEZAJI WA APARTMENT NA MADUKA TAYARI TUMEKUANDALIA RAMANI YA MAJENGO UNAWEZA KUONA IDADI YA NYUMBA ZITAKAZO WEZA KUKAA. UTAONA IDADI YA MADUKA YANAYO WEZA KUKAA HAPA, ✅Matumizi ni Makazi na Biashara SQM - 1100, Kiwanja hiki ni cha kwanza Barabara mpya ya Lami ya Oysterbay - un...
Kiwanja kikubwa square meter 2745 kipo Geza kigamboni kina hati na huduma zote muhimu kama maji umeme na miundo mbinu ya barabara ipo tayari vizuri bei ni maelewano.
🌲vinapatikana kibaha Kwa Mathias 🌲Umbali ni km 5.5 kutoka barabarani..na barabara ya kwenda site ni lami 🌲Bei ni kuanzia milion 2 tu kwa ukubwa wa mita 15/15.. 🌴🌴Sehem ni tambarare.. maji, umeme, hospital, shule, nk vyote vipo karibu. 🌲Siku za kwenda site ni Kila siku piga simu au watsap 0612238874/ 0714499979 🌴🏠Karibuni sana
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka umbali linafa kulima mazao yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 3 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏