📍 Mahali: Misugusugu, Kibaha (Karibia na grid ya umeme ya taifa)
📐 Ukubwa: 24m x 28m = 672 sqm
🏠 Msingi wa Nyumba ya Kisasa Tayari
➡️ Vyumba 4 (viwili ni Master)
➡️ Sebule, Dining, Jiko, Store, na Public Toilet
🛠️ Spetic Tank limechimbwa
🧱 Matofali 300+ tayari yapo site
⚡ Umeme, barabara na Maji vipo jirani kabisa
🗺️ Ramani ya Nyumba utapewa bure kabisa!
💸 Bei ni 15M (Maongezi yapo)
📞 Wasiliana sasa kwa:
📱 0784 221 828 (Owner)
Read more