VIWANJA BAGAMOYO KIROMO, TSH MILIONI 9

TZS 9,000,000
Viwanja
10 months
Tanzania
Dar es Salaam
Kigamboni
Kigamboni Mjimwema, Skanska
516 views
SKU: 6057
Published 10 months ago by ONEROOF REAL ESTATE COMPANY LIMITED
TZS 9,000,000
In Viwanja category
Kigamboni Mjimwema, Skanska, Kigamboni, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
516 item views
VIWANJA VINAUZWA;

LOCATION : BAGAMOYO KIROMO ( MATAYA)

BEI : TSH MILIONI 9 KWA KILA KIWANJA

MAELEZO;

✅️ HAPA KILA KIWANJA KINAUZWA TSH MILIONI 9, HAIJALISHI KINA UKUBWA GANI.

✅️UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO KWA KUANZA NA TSH MILIONI 5, NA NYINGINE UKAMALIZA KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITATU (3)

UKUBWA WA VIWANJA VILIVYOBAKI NI,
✅️SQUARE METER 1,524
✅️SQUARE METER 1,491
✅️SQUARE METER 1,273
✅️SQUARE METER 1,135
✅️SQUARE METER 1,340
✅️SQUARE METER 1,384
✅️SQUARE METER 1,511
✅️SQUARE METER 1,345
✅️SQUARE METER 1,248
✅️SQUARE METER 1,123
✅️SQUARE METER 1,570
✅️SQUARE METER 1,011

✅️Mradi upo tambarare kabisa
✅️Mradi Umeshapimwa teyari
✅️Upo kilomita 4 kutoka bagamoyo road
✅️Upo karibu na makazi ya watu
✅️Huduma zote muhimu zinapatikana kwa ukaribu ikiwa umeme, maji, shule na hospitali

✅️ Njoo Uchague ukubwa unaotaka.

Note :: Ukimaliza kulipia Tunakusainisha form na kuanza process za hati.

KARIBUNI SANA ONEROOF REAL ESTATE COMPANY LTD, OFISI ZETU ZIPO KIGAMBONI MJIMWEMA

Call/ Whatsapp

✅️YOUR NEXT HOME IS HERE Read more

Specs

Property Size Sq Ft 1500

Description

VIWANJA VINAUZWA;

LOCATION : BAGAMOYO KIROMO ( MATAYA)

BEI : TSH MILIONI 9 KWA KILA KIWANJA

MAELEZO;

✅️ HAPA KILA KIWANJA KINAUZWA TSH MILIONI 9, HAIJALISHI KINA UKUBWA GANI.

✅️UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO KWA KUANZA NA TSH MILIONI 5, NA NYINGINE UKAMALIZA KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITATU (3)

UKUBWA WA VIWANJA VILIVYOBAKI NI,
✅️SQUARE METER 1,524
✅️SQUARE METER 1,491
✅️SQUARE METER 1,273
✅️SQUARE METER 1,135
✅️SQUARE METER 1,340
✅️SQUARE METER 1,384
✅️SQUARE METER 1,511
✅️SQUARE METER 1,345
✅️SQUARE METER 1,248
✅️SQUARE METER 1,123
✅️SQUARE METER 1,570
✅️SQUARE METER 1,011

✅️Mradi upo tambarare kabisa
✅️Mradi Umeshapimwa teyari
✅️Upo kilomita 4 kutoka bagamoyo road
✅️Upo karibu na makazi ya watu
✅️Huduma zote muhimu zinapatikana kwa ukaribu ikiwa umeme, maji, shule na hospitali

✅️ Njoo Uchague ukubwa unaotaka.

Note :: Ukimaliza kulipia Tunakusainisha form na kuanza process za hati.

KARIBUNI SANA ONEROOF REAL ESTATE COMPANY LTD, OFISI ZETU ZIPO KIGAMBONI MJIMWEMA

Call/ Whatsapp

✅️YOUR NEXT HOME IS HERE

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account