ENEO LINAUZWA KIGONGO FERRY -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -eneo limeshapimwa tayari -ukubwa wa eneo ni heka moja (1) -bei Milioni 20 ( maongezi yapo pia ) NB:- eneo lipo Km 2 kutoka daraja la JPM ☎️ 0743220097
KIWANJA KINAUZWA ISAMILO INTERNATIONAL -ukubwa wa kiwanja ni Sqm 591 -kina hati miliki ya wizara -bei Milioni 150 NB:- -kiwanja kimezungukwa na barabara ya lami pande mbili ( corner plot ) Plot Namba 215, Kitalu “D” isamilo
BEACH PLOT INAUZWA NYANGUGE -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -ukubwa wa eneo ni heka mbili (2) -eneo linafaa kwa makazi, biashara -bei Milioni 78 ( mazungumzo yapo) NB:- -Kuna beach plot ya heka 25 imeanzia ziwani inauzwa yenyewe ipo nyanguge karibu na bugando beach -Njoo na surveyor ( mpimaji ) kuhakiki eneo ☎️ 0743220097
🏡 VIWANJA MBEZI MARAMBA MAWILI – TSH MILIONI 10 KILA KIMOJA 📞 PIGA SIMU SASA HIVI: 0716 929 703 / 0653 358 435 💬 GUSA LINK Tuchat WhatsApp: 👉 https://wa.me/255625901623 📏 UKUBWA: 20m x 20m VIPO VIWANJA VIWILI PRICE/BEI TSHS MILION 10 ✅ MITA CHACHE KUTOKA BARABARA KUU ✅ HATI YA SERIKALI YA MTAA 🚗 KUPELEKWA SITE : TSH 25,000/= USKOSE NAFASI HII YA KUMILIKI KIW...
SHAMBA LA KILIMO CHA MPUNGA LINAUZWA MAGU -ukubwa wa shamba ni heka kumi ( 10 ) -shamba lipo karibu na chanzo cha maji -shamba lipo umbali wa km 69 kutoka mwanza mjini -bei Milioni 20 kwa shamba lote ???? 0743220097
-shamba ni la kwanza kutoka ziwani -panafaa kwa makazi, kilimo, ufugaji n.k -shamba lipo km 2 kutoka daraja la JPM lilipo -umeme, maji na barabara vyote vipo Bei Milioni 25