KIWANJA KINAUZWA

TZS 12,000,000
Viwanja
1 year
Tanzania
Dodoma
Dodoma
608 views
SKU: 1320
Published 1 year ago by Muharami Kandia
TZS 12,000,000
In Viwanja category
Dodoma, Dodoma, Tanzania
Get directions →
608 item views
kiwanja kinauzwa kipo karibu na mji wa kiserikali(magufuli city) dodoma mjini,
Kina ukubwa wa mita za mraba 1004
document zote zipo ni mchakato wa hati tu ndo utaufanya,

Eneo ni zuri kwa ujenzi tambarale barabara ya mita 40 pia kimepakana na eneo la kituo cha mafuta mita chache mbele Read more

Description

kiwanja kinauzwa kipo karibu na mji wa kiserikali(magufuli city) dodoma mjini,
Kina ukubwa wa mita za mraba 1004
document zote zipo ni mchakato wa hati tu ndo utaufanya,

Eneo ni zuri kwa ujenzi tambarale barabara ya mita 40 pia kimepakana na eneo la kituo cha mafuta mita chache mbele

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account