NAUZA SHAMBA EKARI 150
LIPO BAGAMOYO KIWANGWA
SHAMBA NI ZURI SANA KWA KILIMO CHA MAHINDI,MIHOGO,NANASI N.K
BEI NI LAKI TANO KWA EKARI MOJA(500000)
Read more
Specs
Property Size Sq Ft4000
Description
NAUZA SHAMBA EKARI 150
LIPO BAGAMOYO KIWANGWA
SHAMBA NI ZURI SANA KWA KILIMO CHA MAHINDI,MIHOGO,NANASI N.K
BEI NI LAKI TANO KWA EKARI MOJA(500000)
Discover a rare opportunity to own 5 acres of prime investment land located in the highly desirable Ngaramtoni–Arusha area. This property is ideal for tourism, hospitality, or commercial development, offering unmatched natural beauty and strategic accessibility
*📢 BAR INAUZWA KIGAMBONI* *💰 Bei: TZS Milioni 300* *📍 Location: Dar es Salaam – Kigamboni* *📏 Eneo lina ukubwa wa 506 sqm* *📄 Hati Miliki (Title Deed)* *✅ Mandhari nzuri, eneo tulivu, na tayari kwa biashara* *📞 Piga sasa kwa maelezo zaidi:* 📲 0716 929 703 📲 0653 358 435 *Service charge TZS 30,000/=* *🛑 Fursa ya kipekee kwa wanaotafuta kuwekeza kwenye biashar...
KIWANJA KINAUZWA ILEMELA -ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,000 -kina hati miliki ya wizara ( 99 yrs ) -matumizi ya kiwanja ni makazi -kiwanja kina fensi pande tatu -bei Milioni 180 ( maongezi yapo ) ☎️ 0743220097
Shamba linauzwa lipo kijiji cha bago kata ya kiwangwa halimashauli ya chalinze wilaya ya bagamoyo linaukubwa wa heka 100 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 9 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 whatsapp ipo bei sh laki tano kwa heka moja kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana
Shamba linauzwa lipo mbwewe lenye ukubwa wa hekari 50 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu bei ni million moja na laki 5 kwa hekari moja kwa maelezo zaid pga 0659628665
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 50. Lipo Kiwangwa, Bagamoyo - Pwani. Bei ni Tsh 700,000 kwa heka moja. Umbali ni kilomita 3 kutoka barabara kuu ya lami. Eneo linafaa kwa kilimo, makazi, na ufugaji. Mawasiliano: 0653870009