Shamba linauzwa lipo pongwe ni hekari 4.5 unaweza kata viwanja ukauza na wapimaji wameshafika ni wewe tu,shambani gari
Inafika,lina nyumba yakuishi wafanyakazi ya vyumba 3 vyakulala ya bati, mazao kuna miembe, nazi, Michungwa, chenza, mihogo, mbaazi, nanasi, viazi vituamu
Na katani.
Mawasiliano
WhatsApp +255 718 549 440
Simu kupiga +255 719 416 800
Email
[email protected]
Karibuni wote