Nyumba self yote,Kitangwi Vikindu frem ya duka na ukuta
TZS 95,000,000
Nyumba self yote,Kitangwi Vikindu frem ya duka na ukuta
Pwani
Hello,Nyumba inauzwa,Milion 95,unaweza uza maji kisima chakwako binafsi, kuna fremu ya duka unaweza Jiajiri,nyumba yenye vyumba 3 vyakulala self kila kitu ndani,sebule kubwa, dinning, jiko, nyumba ya mlinzi, choo cha nje safi lkn kiko ndani ya geti,fremu ya duka, na ukuta pamoja na geti, kisima inajitemea kiko ndani na tanki limejengewa mnara,umeme tayari up...
TZS 95,000,000