Shamba linauzwa lipo ngomeni kamba Tanga ni hekari 5 unaweza kata viwanja ukauza na wapimaji wameshafika ni wewe tu,shambani gari Inafika,lina nyumba yakuishi wafanyakazi ya vyumba 3 vyakulala ya bati, mazao kuna miembe, nazi, Michungwa, chenza, mihogo, mbaazi, nanasi, viazi vituamu Na katani. Mawasiliano WhatsApp +255 718 549 440 Simu kupiga +255 719 416 800 Email
[email protected] Karibuni wote