Viwanja tulivyo navyo vimegawanyika katika makundi (3)
Kundi la kwanza.
Ukubwa ni futi 50 kwa 40
Vipo barabarani kabisa.
Umeme na maji vyote vipo
Bei ni tsh Million 3
Kundi la pili.
Ukubwa ni futi 50 kwa 40
Vipo kwenye barabara ya mtaa mbali kidogo na barabara kuu.
Umeme na maji vyote vipo
Bei ni tsh Million 2 na laki 5
Kundi la tatu.
Ukubwa ni futi 50 kwa 40
Vipo mbali kidogo na barabarakuu ila vina barabara zake za kutosha za mitaa.
Umeme na maji vyote kwa sasa vipo mbali na viwanja hivi.
Bei ni tsh Million 1 na laki 5
Vyote vipo Vikindu Kazole Cheta mkoa wa Pwani. Maongezi yapo kwa kila kiwanja.
Read more