Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
Nyumba inapangishwa Mbeya mjini. Ni nyumba inayojitegemea. Ina vyumba 3 vya kulala,sebule,chumba cha chakula, jina jiko kubwa, Tshs. 1.2m kwa mwezi.Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!