Apartments for rent at mbezi beach Juliana 2bedrooms self public toilet tiles gypsum aluminium sitting dining and kitchen ndani ya compound good location
Nyumba Inauzwa – Kimara, Dar es Salaam Bei: TZS 65,000,000 (Inayoweza kujadiliwa) Ukubwa wa Eneo: 25x25 sqm (Jumla sqm 650) Umiliki: Hati safi Hii ni nyumba ya makazi iliyojengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 25x25 sqm kilichopo Kimara, Dar es Salaam. Eneo lina uwanja mpana unaofaa kwa upanuzi wa baadaye au bustani. Umeme na maji vimeunganishwa, na mtaa ni...
NYUMBA INAPANGISHWA ILEMELA -nyumba ina vyumba vitano vya kulala ( vinne ni self contained ), sebule, jiko, dinning, stoo, studying room na public toilet -inajitegemea ndani ya fensi -inafaa kwa matumizi ya ofisi -nyumba ya kwanza kutoka kwenye barabara ya lami -nyumba itafanyiwa ukarabati -malipo ni miezi sita ☎️ 0743220097
NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA BIGBITE -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -umeme na maji unajitegemea -kodi Milioni 3 kwa mwaka -malipo ni miezi sita NB:- Nyumba iko pembeni ya barabara ya lami ☎️ 0743220097
Kiwanja kikubwa square meter 2745 kipo Geza kigamboni kina hati na huduma zote muhimu kama maji umeme na miundo mbinu ya barabara ipo tayari vizuri bei ni maelewano.
This prime property offers an excellent investment opportunity for a hotel, apartment complex, fuel station, or hospital. It is the first plot from the main tarmac road (Dodoma–Arusha highway), conveniently located just 5 kilometers from Dodoma City Center and 2 kilometers from the new Msalato Airport, ensuring great accessibility and high visibility. The pl...
Sheli inauzwa ipo iringa mjini Bei 750 Milioni Kituo kina pump 3 Diesel pump 1 yenye 2 Nozle Pump ya petrol 1 ya 2 Nozle Diesel na Petrol Pump 1 yaani 2 Nozle 2 Product Kuna tank 4 Petrol lita 34000 Diesel lita 34000 Jumla lita 68000
Shamba linauzwa lipo kijiji cha bago kata ya kiwangwa halimashauli ya chalinze wilaya ya bagamoyo linaukubwa wa heka 100 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 9 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 whatsapp ipo bei sh laki tano kwa heka moja kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana