-nyumba ipo mwanza mtaa igoma -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained, sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi 350,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita Nb:- familia mbili ndani ya kiwanja kimoja
4BEDROOM HOUSE FOR RENT AT NJIRO KIKWAKWALU B-ARUSHA, TANZANIA BASICS FEATURES :sitting :dinning :spacious kitchen :two rooms are self contained :staff House :garden :paved parking area :stand alone House
♦️ Viwanja vimeshuka bei ni kuanzia milioni Moja na laki sita tu. ♦️Bomang'ombe Kilimanjaro na Kikatiti Arusha ♦️ Ukubwa ni 15 kwa 20. ♦️ Unalipa nusu iliyobaki unalipa taratibu ndani ya miezi 6 ♦️Mawasiliano. 0769728776 https://wa.me/message/R5H3WUFKZWELN1
HOUSE FOR RENT (stand alone) LOCATION MIKOCHENI UNFURNISHED 3bedrooms Sitting room Kitchen Dining Room Price 1.8ml tsh x 6 in advance 1.5ml tsh x 12 in advance Call & whatsup 0714592413 0625503976
🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – KINYEREZI SHULE | MILIONI 150 TU! 🏡 🔥 Fursa Adimu – Nyumba Mpya Kabisa, Tayari Kukaa! ✅ Vyumba 3 (1 Master na choo chake) ✅ Sebule kubwa yenye nafasi ya starehe ✅ Chumba cha kulia cha kifahari ✅ Jiko la kisasa + choo cha umma ✅ Eneo: 500 sqm – nafasi ya kutosha kwa bustani au maegesho ✅ Umbali: Dakika 5 tu kutoka barabara ya lami...
Kwa wateja serious only ,tufanye Biashara Kiwanja kina nyumba kumbwa na chumba kimoja cha ziada kwa nje, Kipo :- msongola, ilala Bei :- 25 million Ukubwa :- 318 square mita
Nyumba Inauzwa – Kimara, Dar es Salaam Bei: TZS 65,000,000 (Inayoweza kujadiliwa) Ukubwa wa Eneo: 25x25 sqm (Jumla sqm 650) Umiliki: Hati safi Hii ni nyumba ya makazi iliyojengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 25x25 sqm kilichopo Kimara, Dar es Salaam. Eneo lina uwanja mpana unaofaa kwa upanuzi wa baadaye au bustani. Umeme na maji vimeunganishwa, na mtaa ni...