Apartment inapangishwa mahina
-chumba kimoja self contained, sebule na jiko
-kodi 250,000 kwa mwezi
-malipo ni miezi sita
-umeme na maji unajitegemea
Read more
Specs
Bedrooms1-Bedroom
Bathroom1-Bathroom
Description
Apartment inapangishwa mahina
-chumba kimoja self contained, sebule na jiko
-kodi 250,000 kwa mwezi
-malipo ni miezi sita
-umeme na maji unajitegemea
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA CENTER -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -umeme na maji unajitegemea -kodi Milioni 3 kwa mwaka -malipo ni miezi sita ☎️ 0743220097
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA BLESSING -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, jiko, dinning, stoo na public toilet -kodi Milioni 3 kwa mwaka -malipo ni miezi sita NB:- Nyumba moja ndani ya fensi ???? 0743220097
???? *APARTMENT MPYA YA KISASA INAPANGISHWA – UNUNIO BEACH, DAR ES SALAAM* ????️ ???? *Mahali:* Ununio Beach ???? *Kodi:* Tsh 1,000,000/= kwa mwezi ????️ *Malipo:* Miezi 6 ya mwanzo --- ✨ *MAELEZO YA APARTMENT:* ???? Vyumba 3 vya kulala – kimoja ni *Master Bedroom* ???? *Sebule kubwa yenye AC* na eneo la kulia chakula (*Dining*) ???? *Jiko la kisasa* lenye m...
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA -ina vyumba vinne vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -nyumba moja ndani ya fensi -nyumba iko karibu na barabara ya lami -kodi Milioni 7 kwa mwaka -malipo ni mwaka mzima ???? 0743220097
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA •Ground Floor ina vyumba viwili vya kulala vyote ni self contained, sebule, dinning, jiko na public toilet • First Floor ina vyumba vitatu vya kulala vyote ni self contained, sebule, public toilet na chumba cha kusalia Ina servant quater ya chumba x 2, stoo na public toilet • kodi Milioni 2 kwa mwezi NB:- Nyumba Moja Ndani Ya Fens...
This is the bangalore house for rent in njiro nanenane it has 4 bedrooms with the large compaund nice location it goes for 700 hundreds dollars per month for more details call