Apartments za Kupangishwa Boko Msikitini (Karibu na Boko Beach)

TZS 700,000
Nyumba za Kupanga
1 month
Tanzania
Dar es Salaam
Kinondoni
Boko Masikitini - Boko Beach
71 views
SKU: 15320
Published 1 month ago by Jason
TZS 700,000
In Nyumba za Kupanga category
Boko Masikitini - Boko Beach, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
71 item views
Apartments za Kupangishwa – Boko Msikitini (Karibu na Boko Beach)*

Zipo apartment *3* ndani ya *geti moja*, lakini *moja imeshachukuliwa* – zimebaki *2 tu*!

Kila apartment ina:
- *Sebule kubwa*
- *Stoo*
- *Jiko lenye nafasi nzuri*
- *Vyumba 2* (kimoja ni *master bedroom*)
- *Choo cha nje (shared)*
- *Air Conditioner (AC)*
- *Sehemu zote zina ceiling fan*
- *Vyumba vyote vina makabati*

Eneo ni *tulivu*, lina *maji ya uhakika* na *usalama mzuri* – karibu sana na *Boko Beach*.

📍 *Mahali:* Boko Msikitini
💰 *Kodi:* Tsh *700,000/= kwa mwezi*

*Kwa mawasiliano:* 0786 522 839 Read more

Specs

Bedrooms 1-Bedroom
Bathroom 1-Bathroom

Description

Apartments za Kupangishwa – Boko Msikitini (Karibu na Boko Beach)*

Zipo apartment *3* ndani ya *geti moja*, lakini *moja imeshachukuliwa* – zimebaki *2 tu*!

Kila apartment ina:
- *Sebule kubwa*
- *Stoo*
- *Jiko lenye nafasi nzuri*
- *Vyumba 2* (kimoja ni *master bedroom*)
- *Choo cha nje (shared)*
- *Air Conditioner (AC)*
- *Sehemu zote zina ceiling fan*
- *Vyumba vyote vina makabati*

Eneo ni *tulivu*, lina *maji ya uhakika* na *usalama mzuri* – karibu sana na *Boko Beach*.

📍 *Mahali:* Boko Msikitini
💰 *Kodi:* Tsh *700,000/= kwa mwezi*

*Kwa mawasiliano:* 0786 522 839

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account