NYUMBA INAPANGISHWA BUZURUGA -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ina heater, makabati jiko na vyumbani, CCTV camera, garden na public toilet ya njee -kodi Milioni 7 kwa mwaka -malipo miezi sita NB:- Nyumba Moja Ndani Ya Fensi ???? 0743 220097
4bdrm villa for rent oyster bay double store with spacious living room kitchen cabinets All room self contained back up generator swimming pool gym call wasap 0714592413 0625503976
NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA MACHINJIONI -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -umeme na maji unajitegemea -kodi Tsh 200,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita ☎️ 0743220097
Apartment inapangishwa buswelu center -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self ), sebule, jiko na public toilet -kodi Milioni 2 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -umeme na maji unajitegemea Nyumba ya 2 kutoka barabara ya lami 0743220097
Nyumba inapangishwa Mbeya mjini. Ni nyumba inayojitegemea. Ina vyumba 3 vya kulala,sebule,chumba cha chakula, jina jiko kubwa, Tshs. 1.2m kwa mwezi.Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
NYUMBA INAPANGISHWA MADUKA TISA -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Mil 5.5 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -familia 4 ndani ya fensi -nyumba iko karibu na barabara ya lami ☎️ 0743220097
NAUZA NYUMBA HII ML.18 LOCATION .Mabwepande mtaa Mwendokasi. NYUMBA.in vyumba vitatu kimoja master toilet public kuna dinaroom chumba cha kupikia nyumba imeisha kabisa bado kuezeka tu UKUBWA.ni squer mitaa 400 Huduma za kijamii zote zipo Kiwanja kimepimwa ila hati bado utaratibu hatuja pata maana ni ofa kutoka kwa Raisi tume pimiwa wote.kwahiyo tuta uziana k...