bedroom, kitchen, laundry area, bathroom, dining, electric meter, water meter. Safe n clean. Bunju b area. Tile floor, cabinets, ceiling fans. Final price 150k per month
Apartment inapangishwa buswelu center -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self ), sebule, jiko na public toilet -kodi Milioni 2 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -umeme na maji unajitegemea Nyumba ya 2 kutoka barabara ya lami 0743220097
Nyumba inapangishwa Mbeya mjini. Ni nyumba inayojitegemea. Ina vyumba 3 vya kulala,sebule,chumba cha chakula, jina jiko kubwa, Tshs. 1.2m kwa mwezi.Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
INAPANGISHWA# APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- SALASALA IPTL ——————————————————— NOTE:ULIPI.ULINZI ,MAJI .NA .USAFI .VYOTE VIMEJUMUISHWA KWENYE KODI UNALIPA UMEME TU AMBAO LUKU YA KWAKO KODI TSHS LAKI 500,000/=KWA MWEZI ________________ MALIPO YA MIEZI 3 ————- APART YA KISASA _________________ KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Chumba kimoja kulala,amba...