NYUMBA INAPANGISHWA ILEMELA
-nyumba ina vyumba vitano vya kulala ( vinne ni self contained ), sebule, jiko, dinning, stoo, studying room na public toilet
-inajitegemea ndani ya fensi
-inafaa kwa matumizi ya ofisi
-nyumba ya kwanza kutoka kwenye barabara ya lami
-nyumba itafanyiwa ukarabati
-malipo ni miezi sita
☎️ 0743220097