NYUMBA INAUZWA ILEMELA JIRANI NA MWANZA AIRPORT
-ina vyumba vitatu vya kulala ( viwili ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo, extra room na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,123
-ina hati miliki ya wizara (99 yrs )
-ina Air condition, makabati, servant quater, standby generator na car parking space kubwa
-nyumba ya kwanza kutoka barabara ya lami
☎️ 0743220097