Houses/Apartments for sale

TZS 170,000,000
Nyumba Zinauzwa
4 months
Tanzania
Dodoma
Dodoma
1115 Dodoma
417 views
SKU: 7986
Published 4 months ago by Emmanuel John Mosha
TZS 170,000,000
In Nyumba Zinauzwa category
1115 Dodoma, Dodoma, Dodoma, Tanzania
Get directions →
417 item views
NYUMBA 4 KWENYE KIWANJA CHA 2600sqm, ZINAUZWA MICHESE DODOMA.

zipo kilomita 8 kutoka mjini. Zipo jirani na reli ya SGR.

Nyumba mbili zilizokamilika Zina muundo wa vyumba viwili vyote master sebule dinning na jiko.

zingine mbili bado zinahitaji finishing. Moja ujenzi umefikia kwenye linta Ina vyumba vitatu vyote master, sebule, dinning na jiko.

Nyingine ni servant quarter Ina chumba master na sebule na chumba master .

Kiwanja kina ukubwa wa 2600sqm (zaidi ya nusu ekari).

Kuna mandhari nzuri mno ya kuvutia: miembe, michungwa, migomba na garden nzuri ya maua.

Maji ni ya uhakika, kisima kirefu na reserve tanks.

Maelezo zaidi na kwenda kuona site.

0769619980. Read more

Specs

Property Size Sq Ft 2600
Bedrooms 4-Bedrooms
Bathroom 2-Bathrooms

Description

NYUMBA 4 KWENYE KIWANJA CHA 2600sqm, ZINAUZWA MICHESE DODOMA.

zipo kilomita 8 kutoka mjini. Zipo jirani na reli ya SGR.

Nyumba mbili zilizokamilika Zina muundo wa vyumba viwili vyote master sebule dinning na jiko.

zingine mbili bado zinahitaji finishing. Moja ujenzi umefikia kwenye linta Ina vyumba vitatu vyote master, sebule, dinning na jiko.

Nyingine ni servant quarter Ina chumba master na sebule na chumba master .

Kiwanja kina ukubwa wa 2600sqm (zaidi ya nusu ekari).

Kuna mandhari nzuri mno ya kuvutia: miembe, michungwa, migomba na garden nzuri ya maua.

Maji ni ya uhakika, kisima kirefu na reserve tanks.

Maelezo zaidi na kwenda kuona site.

0769619980.

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account