Shamba linauzwa lipo kijiji cha bago kata ya kiwangwa halimashauli ya chalinze wilaya ya bagamoyo linaukubwa wa heka 100 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 9 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 whatsapp ipo bei sh laki tano kwa heka moja kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana
🌲vinapatikana kibaha Kwa Mathias 🌲Umbali ni km 5.5 kutoka barabarani..na barabara ya kwenda site ni lami 🌲Bei ni kuanzia milion 2 tu kwa ukubwa wa mita 15/15.. 🌴🌴Sehem ni tambarare.. maji, umeme, hospital, shule, nk vyote vipo karibu. 🌲Siku za kwenda site ni Kila siku piga simu au watsap 0612238874/ 0714499979 🌴🏠Karibuni sana
Land for sale, Mashamba yanauzwa zaidi ya ekari 2000. Yanauzwa kunzia ekari 500 Yanapatikana Njombe Mfiriga. Yanafaa kwa kulimo cha parachichi, Nanasi, miti, maharage, mahindi na mazao mengine pia pori zuri kwa ufugaji nyuki.
Kwa wateja serious only ,tufanye Biashara Kiwanja kina nyumba kumbwa na chumba kimoja cha ziada kwa nje, Kipo :- msongola, ilala Bei :- 25 million Ukubwa :- 318 square mita
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 40 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 4 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714 121 506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule
VIWANJA VINAUZWA KIBAHA-KWA MFIPA/GALAGAZA "Nunua ardhi sasa-wakiwa bado hawajauona thamani yake," Hivi viwanja vipo KIBAHA-KWA MFIPA/ GALAGAZA,unaweza kujenga nyumba za makazi au matumizi mengine kutokana maitaji yako. Miondombinu yote kama maji,umeme barabara na huduma zote za kijamii zinapatikana 👉 KIBAHA-KWA MFIPA-GALAGAZA Size: 20 x 20...........Bei Mil...