🌲vinapatikana kibaha Kwa Mathias
🌲Umbali ni km 5.5 kutoka barabarani..na barabara ya kwenda site ni lami
🌲Bei ni kuanzia milion 2 tu kwa ukubwa wa mita 15/15..
🌴🌴Sehem ni tambarare.. maji, umeme, hospital, shule, nk vyote vipo karibu.
🌲Siku za kwenda site ni Kila siku piga simu au watsap 0612238874/ 0714499979
🌴🏠Karibuni sana