Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka umbali linafa kulima mazao yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 3 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
KIWANJA KINAUZWA ILEMELA -ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,000 -kina hati miliki ya wizara ( 99 yrs ) -matumizi ya kiwanja ni makazi -kiwanja kina fensi pande tatu -bei Milioni 180 ( maongezi yapo ) ☎️ 0743220097
ENEO LINAUZWA KIGONGO FERRY -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -eneo limeshapimwa tayari -ukubwa wa eneo ni heka moja (1) -bei Milioni 20 ( maongezi yapo pia ) NB:- eneo lipo Km 2 kutoka daraja la JPM ☎️ 0743220097
🎉 *TANGAZO LA MAUZO – MWANZA* 🎉 👉 *Kiwanja chenye nyumba kinauzwa moja kwa moja na mmiliki – *Hakuna dalali!** 📍 *Eneo:* Kalwande, Mwanza ➡️ Karibu na: - Hospitali ya *Bukumbi* - *Chuo cha Ufundi* - *Kituo cha Wazee* - *Daraja la Magufuli (Busisi–Kigongo)* - Km 15 kutoka Buhongwa - Mita 200 kutoka barabara ya Geita–Mwanza 🏡 *Nyumba:* - *Chumba kimoja (self-c...
-ukubwa wa kiwanja ni 50x40 =2,000 sqm -kiwanja kimeshapimwa tayari -kiwanja kipo karibu kabisa na daraja la JPM -panafaa kwa makazi au biashara -bei Milioni 30
VIWANJA VINAUZWA KIBAHA-KWA MFIPA/GALAGAZA "Nunua ardhi sasa-wakiwa bado hawajauona thamani yake," Hivi viwanja vipo KIBAHA-KWA MFIPA/ GALAGAZA,unaweza kujenga nyumba za makazi au matumizi mengine kutokana maitaji yako. Miondombinu yote kama maji,umeme barabara na huduma zote za kijamii zinapatikana 👉 KIBAHA-KWA MFIPA-GALAGAZA Size: 20 x 20...........Bei Mil...