ENEO LINAUZWA KIGONGO FERRY -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -eneo limeshapimwa tayari -ukubwa wa eneo ni heka moja (1) -bei Milioni 20 ( maongezi yapo pia ) NB:- eneo lipo Km 2 kutoka daraja la JPM ☎️ 0743220097
KIWANJA CHA KWANZA KUTOKA LAMI KINAUZWA KISESA - ISANGIJO - ukubwa wa kiwanja ni 44x32 =1,419 Sqm - kiwanja kina hati miliki ya wizara - bei Milioni 70 ???? 0743 220097
Kuna viwanja vina hati bagamoyo viwili kwa pamoja jamaa anataka 45m bei inapungua Apo vipo viwanja viwili kimoja ukubwa ni 418 kiginine ukubwa 620 vyote mwenyewe anauza
JUMLA YA VIWANJA KUMI NA SITA (16) VINAUZWA -Eneo/Mtaa Ni Nyashishi - Mwabebeya -Ukubwa Wa Kila Kiwanja Ni Mita 20x20 =400 Sqm -Ruksa Kununua Kiwanja Kimoja Au Zaidi -Bei Tsh Milioni Tatu Na Laki Nane kwa kimoja Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba 0743220097
*🟢 SHAMBA LINAUZWA – KIWANGWA, BAGAMOYO 🟢* Fursa ya kumiliki ardhi yako! ✅ Ukubwa: Heka 10 ✅ Umbali: Km 4 kutoka barabara ya lami ✅ Mahali: Kiwangwa – Bagamoyo ✅ Mazingira tulivu, yanafaa kwa kilimo, ufugaji au makazi ✅ Umeme na maji karibu 💰 Bei: TSh 900,000 kwa heka (maelewano yapo) 📞 *Wasiliana na Mr. Chilo – 0714 121 506* *Miliki shamba lako leo – usipit...